Tunavunja vizuizi!

Sehemu ya 6: Je, Springsters Wanafanikiwaje? Tunabadilisha mchezo.

Vipi msichana, mambo!

Katika historia, daima kuna mtu anayesema 'wasichana hawawezi kufanya hivyo!'. Hata hivyo, kila mwaka tunaendelea kufanya hivyo. 'Vunja Vizuizi!' inahusu kufanya kile ambacho hakijafanywa mbeleni!

We_break_barriers_6_1.png We_break_barriers_6_2.jpg We_break_barriers_6_3.jpg We_break_barriers_6_4.jpg We_break_barriers_6_5.png

Shiriki upendo na rafiki na usome Hadithi zetu zote za Springster hapa!

Share your feedback