Sehemu ya 3: Je, Springsters Wanafanikiwaje? Sisi husaidiana wenyewe kwa wenyewe.
Vipi msichana, mambo!
Je, umewahi kuhisi kwamba ulimwengu mzima uko mabegani mwako? Haifurahishi! 'Tuko Pamoja kila Wakati, Huko peke yako Kamwe!' inahusu kusimama na watu katika maisha yako ambao wanahitaji msaada wako na kuhakikisha hakuna yeyote anakabiliana na dunia peke yake. Kila kitu huwa rahisi tunaposaidiana.
Shiriki upendo na rafiki na usome Hadithi zetu zote za Springster hapa!
Share your feedback